Uhamishaji wa Fedha Haramu Nchini Kenya

Uhamishaji wa fedha haramu ni njia ambazo fedha au rasilimali hutumiwa ili kutoka nchi moja hadi nyingine. Uhamishaji huu wa fedha haramu huathiri usalama wa nchi kwa kudhoofisha taasisi za kiserikali, kuathiri utekelezaji wa mifumo bora ya kisheria, na kusababisha nchi kukosa uwezo wa kupambana na umaskini. SOMA ZAIDI…
Illicit Financial Flows (IFFs)

Illicit Financial Flows (IFFs) are illegal movements of money from one country to another. IFFs severely undermine Kenya’s political and economic security by creating weak institutions, diminish the rule of law, and leaving the county ill-equipped to fight poverty. READ MORE…